UMOJA wa Watanzania nchini Ujerumani (UTU),unayofuraha kutoa taarifa kuwa wasanii wa Tanzania wanaoishi nchini Ujerumani, wenye vipaji vya kupiga na kuchenga ngoma za kiasili,sanaa za maonesho kama sarakasi, na waimbaji wa kwaya, kujitokeza hili kuunda kikundi cha ngoma za kiasili, Wasanii tunawaomba muwasiliane na Mwenyekiti wa UTU namba ya simu +49(0)1734298997.
Wasanii wa Tanzania mnaoishi Ujerumani mnaombwa kutokalia vipaji vyenu majumbani, tafadhalini tumieni nafasi hii kujitangaza Kuutangaza utamaduni wa nchi yetu.mfano mnauona kwa wanamuziki wa dansi wanajitangaza. Wasanii tumieni nafasi, jitokezeni kwa wingi kuunda kundi.
Umoja ni Nguvu Mfundo Peter Mfundo, Mwenyekiti (UTU)
Email. kamati.utu@gmail.com simu 01734292997