Wananchi wenye hasira wakiwa wamefunga barabara eneo la Kwa Mama John Mbeya kuzuia magari (malori) yanayosafirisha shehena hiyo kwenda nje ya nchi kupita. Mkoa huo kwa sasa una uhaba mkubwa wa nishati ya mafuta.
Wananchi wenye hasira wakiwa wanaviringisha jiwe kulisogeza barabarani ili kufunga barabara eneo la Kwa Mama John Mbeya kuzuia magari (malori) yanayosafirisha mafuta kupita.
Magari yakipita kwa tabu baada ya barabara kufungwa na baadhi ya wananchi
Baadhi ya malori ya mafuta yaliozuiliwa
Baadaye askari walifika na kuanza kuzibua barabara kwa kuondoa mawe
Picha zote na Mbeya Yetu Blog.