Habari Njema kwa Wahitimu Chuo Cha Uhazili Tabora 1989

WANACHUO wote waliomaliza Chuo cha UHAZILI Tabora mwaka 1989, mnaombwa kukutana bila kukosa ukumbi wa JOLLY CLUB siku ya Ijumaa Novemba 16, 2012 saa 11.00 jioni kuna jambo muhimu la kuzungumza, usomapo taarifa hii mjulishe na mwenzako.

Wasiliana na wafuatao hapo chini kwa maelezo zaidi na kuthibitisha kushiriki wako. KARIBUNI SANA
1. Grace Mwanambilimbi Mwesi 0784 351620
2. Cecilia Makwaia – 0655 819803
3. Joyce Nachenga Pamba – 0763 635500