Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Ireland Mhe.Eamon Gilmore (T.D) alipokutana naye ofisini kwake leo mjini Dodoma .Waziri wa Ireland yupo nchini kwa ziara fupi ya kikazi .