mtoto Shadya Kitenge aliyevaa kofia nyeupe akimkabidhi mchezaji maarufu wa mpira wa mezani duniani (tennis) ambaye ni mlemavu , Stephane Houdet (aliyevalia tisheti ya orange)kutoka Ufaransa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo asubuhi jijini Dares Salaam . Mchezaji huyo atakuwepo kwa muda wa siku saba kwa ajili ya kuhamasisha mchezo kwa watu wenye ulemavu na wasio na ulemavu. Pia atafanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa mchezo huo.
mchezaji maarufu wa mpira wa mezani duniani (tennis) ambaye ni mlemavu , Stephane Houdet (aliyevalia tisheti ya orange)kutoka Ufaransa akizungumza na familia yake na kulia ni mkewe mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo asubuhi jijini Dares Salaam . Mchezaji huyo atakuwepo kwa muda wa siku saba kwa ajili ya kuhamasisha mchezo kwa watu wenye ulemavu na wasio na ulemavu.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo Tanzania, Juliana Yasoda (kushoto) akiwa ameongozana na mchezaji maarufu wa mpira wa mezani duniani (tennis) ambaye ni mlemavu , Stephane Houdet (aliyevalia tisheti ya orange)kutoka Ufaransa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo asubuhi jijini Dares Salaam . Mchezaji huyo atakuwepo kwa muda wa siku saba kwa ajili ya kuhamasisha mchezo kwa watu wenye ulemavu na wasio na ulemavu. Pia atafanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa mchezo huo.