KATIBU wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA), Mkoa wa Arusha, Sheikh Abdulkarim Jongo amejeruhiwa na mlipuko unaosadikiwa kuwa ni bomu lililotegwa nyumbani kwake eneo la Esso.
Sheikh Jongo alijeruhiwa na mlipuko huo jana usiku chumbani kwake eneo la Sokoni One, Esso, jijini Arusha-ambapo pia chumba hicho kiliharibiwa baada ya kutoka tundu kubwa ukutani.
Kusoma zaidi taarifa hii tafadhali bofya link hapo chini:- http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/5457-katibu-bakwata-alipuliwa