Maandalizi ya Serengeti Fiesta 2012 Dar es Salaam katika viwanja vya leaders Kesho.
Maandalizi ya Serengeti Fiesta 2012 Dar es Salaam katika viwanja vya leaders Kesho.
Maandalizi ya Serengeti Fiesta 2012 Dar es Salaam kesho ndani ya viwanja vya Leaders Club.
Maandalizi ya Jukwaa la Serengeti Fiesta 2012 Dar es Salaam kesho ndani ya viwanja vya Leaders Club.
Hapa linafungwa jukwaa la kisasa litakalotumika kwenye Serengeti Fiesta 2012 Dar es Salaam kesho ndani ya viwanja vya Leaders Club.
” Daah hii inanitosha kabisa”!
Mtangazaji wa Clouds TV,Mussa Husein akizungumza na mmoja wa mashabiki wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,ndani ya viwanja vya Biafra mapema leo jioni wakati skwadi zima la lala salama kwenye kuelekea kilele cha tamasha la Serengeti Fiesta 2012 viwanjani hapo
Antu Mandoza akishoo love na baadhi ya mashabiki
Ni kushoo love tuu afuu Bhaaaaassss….!
Mussa Huseini pichani kati akiwa amezungukwa na Mashabiki/wapenzi wa tamasha la Serengeti Fiesta wakiwa wamejitokeza kwa wingi leo kwenye viwanja vya Biafra,wakati skwadi zima la lala salama kwenye kuelekea kilele cha tamasha la Serengeti Fiesta 2012 lilipotinga kwenye viwanja hivyo na kutoa zawadi mbalimbali kwa washabiki hao,ikiwemo fedha taslim,simu,tiketi za kuingilia kwenye tamasha hilo pamoja na fulana.