GARI la Kusafirishia fedha mali ya Kampuni ya Security Group 4 likiwa limebata pancha katika moja ya ATM za Benki ya NMB likiwa kazini. Tukio hilo lililoleta usumbufu kwa wateja wa Benki ya NMB waliolazimika kuzuiwa kusogea eneo hilo kutoa fedha ATM hadi mambo yawekwe sawa limetokea eneo la Buguruni Sokoni Jijini Dar es Salaam jana. (Picha na mpiga picha wa dev.kisakuzi.com)