Semina ya Kuimarisha Uhusiano wa Viongozi wa Kisiasa na Serikali ya SMZ

Katibu Mtendaji Tume ya Mipango, Bi. Amina Khamis Shaaban, alipokuwa akitoa mada ya nne ya Mpango wa Miaka mitano wa Utekelezaji wa Mkuza II, katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar, ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]


Baadhi ya Watendaji wa Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi wakisikiliza Mada zilizotolewa katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani). [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]