UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII, SHIRIKA LA SHIVYAWATA WATAWASILISHA
MADA: KATIBA NA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU
LINI: Jumatano Tarehe 03/10/2012
MUDA: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA