Picha ya juu:Mwenyekiti wa CHAUMMA, Mh. Wallace Mayunga akieleza mikakati na mipango ya chama kwa Mhariri ndani ya miezi mitatu ijayo
Picha ya Kati: Mh. Mayunga akimkaribisha Ofisini kwake Mhariri Mkuu wa TheHabari USA, Ndg. Rungwe Jr.
Picha ya chini: Jengo la CHAUMMA kama lilivyonaswa na mpiga picha wetu
Picha zote na Mpiga picha wetu.