Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wanasheria Tanzania (TAWLA) Aisha Bade (kulia) akitoa ufafanuzi wa matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake. Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala Tarsua Kesoka. Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Wilaya ya Kinondoni Charles Mnzava (kulia) akichangia mjadala jana jijini Dar es Salaam kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake. Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilayani Ilala Raphael David. Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wakiwa na wanachama wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania (TAWLA) wakiwa mkutano jana jijini Dar es Salaam ulikuwa unajadili matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake. Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es Salaam.
Jaji wa Mahakama Kuu Patricia Fikirini (kulia) akitoa maoni yake jana jijini Dar es Salaam kuhusu mjadala kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake. Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mstaafu Eusebia Munuo. Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es Salaam.