Baadhi ya wageni wakiinjoi kula na kunywa katika kwenye hafla mchapalo hiyo.
Waziri Afisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dr. Terezya Huvisa akibadilishana mawazo na baadhi Mawaziri wa Mazingira kutoka nchi 53 Barani Afrika.
Wageni wa mkutano wa 14 wa mazingira wakibadilishana mawazo katika hafla mchapalo ilyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira.
Mtaalam wa Mawasiliano wa UN Sangita Khadka Bista (wa pili kulia) na baadhi ya wageni waliohudhuria hafla hiyo.
Waziri Afisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dr. Terezya Huvisa akimkaribisha Makamu wa Rais wa Muungano wa visiwa vya Comoro Dr. Fouad Mohdji kwenye hafla mchapalo iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa wageni waliohudhuria mkutano wa 14 wa Mawaziri wa Mazingira Barani Afrika iliyofanyika Mount Meru Hotel jijini Arusha.
Waziri Afisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dr. Terezya Huvisa akiwa na Makamu wa Rais wa Muungano wa visiwa vya Comoro na Waziri wa Mazingira wa Mali pamoja na Bw. Ishmael Dodoo wa UNDP.
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dr. Alberic Kacou katika halfa mchapalo iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais iliyofanyika Mount Meru Hotel.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dr. Alberic Kacou na mmoja wa mabalozi kutoka Jumuiya ya Ulaya hapa nchini.
Kibo Band ikitoa burudani kwenye halfa mchapalo.