Happy birthday Blog ya Mwana wa Afrika

Mmiliki wa Blog ya Mwana wa Afrika

Happy birthday Blog ya Mwana wa Afrika

Kwanza kabisa napenda kuwashukuru wadau wote wote wa blog hii ya Mwana wa Afrika kwa support yenu mliyonipa tangu naanzisha blog Agosti 20 mwaka 2010 ambapo leo natimiza miaka 2 tangu nimeanza kuwahabarisha kupitia blog hii.

Najua bila nyie wadau nisingeweza kueleafikia hata hii leo, napenda kuwahakikishia kuwa nitaendelea kuwahabarisha habari mbalimba kutoka mkoani Mara na nje ya mkoa wa Mara naamini nitaendelea kuwahabarisha kadri Mola atakavyoniwezesha.

www.mwanawaafrika.blogspot.com

Asanten wadau