Bunge la bajeti laanza leo Dodoma

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda akiwaongoza wabunge wa Bunge la Tanzania kuimba wimbo wa Taifa leo mjini Dodoma kuashiria kuanza kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania.

Baadhi ya wabunge wa Tanzania wakifuatilia kwa makini kipindi cha maswali na majibu jana mjini Dodoma wakati wa kuanza kwa kikao cha kwanza cha Mkutano wa Nne wa Bunge la Tanzania mjini Dodoma. Picha zote na Tiganya Vincent, MAELEZO-Dodoma.