FFU walivyo fanya kweli International African Festival

Kamanda Ras Makunja na Award akipongezwa na mmoja wa mdau wa FFU

Wasanii wa FFU wakiwa kwenye gwaride jukwaani

FFU wa Ngoma Africa Band walipofanya kweli katika maonesho ya International African Festival, mjini Tubingen, Ujerumani Agosti 11, 2012. Pia maonesho hayo yaliambatana na sherehe za tuzo la “IDA- International Diaspora Award” mshindi wa Tuzo hiyo pia ni Ngoma Africa Band, ambayo imechaguliwa kuwa ndio bendi bora ya kiafrika iliyofanya kazi nzuri ya kuutangaza mziki wa kiafrika kwa kasi na kujizolea mamilioni ya washabiki katika kila kona diniani.

Tuzo hiyo ya “IDA-International Diaspora Award” ambayo imekabidhia kwa kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja wa FFU, Wasikilize at www.ngoma-africa.com pia ungana nao atwww.twitter.com/ngomaafrica