‘Mercedes cup’yarindima Dar

Washiriki wakianza mashindano hayo kuzunguka fukwe karibu na kisiwa cha BongWashiriki wakianza mashindano hayo kuzunguka fukwe karibu na kisiwa cha Bongoyo.

Meneja Masoko wa CFAO Motors Tharaia Ahmed (Kulia) na Mkurugenzi wa Biashara wa CFAO Motors Wayne Mcintosh (kushoto) katika picha ya pamoja ya washindi wa kwanza hadi wa tatu walioshiriki mashindano ya Boti zinazokwenda kwa upepo (Sailing Boat) ya Mercedes Cup 2012 baada ya kukabidhiwa vikombe na zawadi zao yaliyofanyika katika fukwe za Yatch Club jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mashindano hayo yanayofanyika kila mwaka yamedhaminiwa na Kampuni ya CFAO Motors.

Washiriki wakianza mashindano hayo kuzunguka fukwe karibu na kisiwa cha BongWashiriki wakianza mashindano hayo kuzunguka fukwe karibu na kisiwa cha Bongoyo.