Bajeti ya elimu ‘live’ Dar
Dk. Shukuru Kawamwa akiwa ‘live’ akisoma bajeti leo
Wa kwanza kulia ni Rais wa Chama cha Walimu Tanzania, Gratian Mukoba akiwa katika mjadala live
Mhadhiri wa UDSM, Ayoub Rioba akifuatilia mjadala ‘live’ wa bajeti ya elimu iliyosomwa bungeni
Mhadhiri wa UDSM, Dk. Kitila Mkumbo akizungumza katika mjadala huo
Wadau wakiwa ‘busy’ katika mjadala huo
Wadau wa elimu wakifuatilia hotuba hiyo ‘live’ kabla ya mjadala