Rais Kikwete nchini Ghana!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Agosti 9, 2012 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kotoka jijini Accra, Ghana, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills anayetarajiwa kuzikwa kesho Ijumaa Agosti 10, 2012. PICHA NA IKULU

Rais Jakaya Kikwete akiwasili jijini Accra, Ghana, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills. Picha na Ikulu.