MSANII chipukizi anayekuja kwa kasi ametoka tena kivingine, huku sasa akiibuka na songi kali la Hip Hop lijulikanalo kama MTOTO WA FISADI, ambapo hapa anamzungumzia maisha ya mtoto wa fisadi na kuyalinganisha na yale ya mtoto wa masikini. Waweza kutembelea link hii hapo chini
http://www.hulkshare.com/amvrvn7f25mo
CONTACT: 0717999323