Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tano kutoka kulia) akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Magharibi wakati wa hafla ya Futari aliyowaandalia na kushiriki nao pamoja katika futari hiyo iliyoandaliwa Ikulu ndogo mjini Dodoma Agosti, 5, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tano kutoka kulia) akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Magharibi wakati wa hafla ya Futari aliyowaandalia na kushiriki nao pamoja katika futari hiyo iliyoandaliwa Ikulu ndogo mjini Dodoma jana Agosti, 5, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR