Makamu wa Rais aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimwakilisha Rais Jakaya Kikwete, kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma Agosti 6, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR