Mtangazaji Maryrose Talk Show ajitosa kuwania uwenyekiti UWT

Mayrose Kavura Majinge (Mwenye nguo ya Rangi ya Kijani) akiongea na wandishi wa habari mara tu baada ya kuchukua fomu makao makuu ya CCM Mkoani Dodoma

Mayrose Kavura Majinge (katikati),akiwa katika picha ya pamoja na mumewe ndg Joseph Kusaga Majinge nje ya jengo la CCM makao makuu Dodoma mara tu baada ya kuchukua fomu ya mwenyekiti jumuiya ya wanawake wa CCM (UWT) ngazi ya taifa