Magdalene akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake Bwana na Bibi Christopher Makwaia (MK) na shangazi yake katikati baada ya kutunukiwa cheti chake.
Agosti 2, 2012 ni siku ya kukumbukwa sana kwa Mtoto Magdalene Christopher baada ya kuhitimu masomo yake ya Elimu ya Chekechea katika shule ya Brokhouse International Schooliliyopo Morocco jijini Dar es Salaam na mwakani 2013 ataanza darasa la kwanza. Mahafali hayo yalifanyika leo.
Magadalene akila pozi na wenzake wakati wakisubiri kukabiziwa maganda yao.