Safari ya kuifufua Tukuyu Star, Banyambala

Wadau wa timu ya Tukuyu Star Banyambala ya Mbeya wakipata picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tukuyu kwa ajili ya Kongamano la kuifufua upya timu hiyo iliyovuma miaka ya 1980 na 1990 katika soka la Tanzania na ilifanikiwa kuchuka ubingwa wa Bara mwaka 1986. Kocha Kenny Mwaisabula Mzazi (pili kutoka kulia waliosimama) ambaye ndiyo kiongozi na Makamu mwenyekiti wa Tukuyu Star Family, Mdau Mkuu wa Fullshangwe Blogu ni miongoni mwa timu iliyoelekea katika Kongamano hilo.

Wadau wa timu ya Tukuyu Star Banyambala ya Mbeya hapa wakiwa mjini Morogoro Msamvu wakipata mlo mdogo kabla ya kuendelea na safari yao.