Masanja Mkandamizaji kuzindua ‘Hakuna jipya’ Iringa

Masanja Mkandamizaji kuzindua Hakuna Jipya Iringa


Hii ni kwa mara ya Kwanza katika historia ya Mkoa wa Iringa kufanyika uzinduzi mkubwa kama huu, kumbuka kwamba mtandao huu utawaletea matukio yote ya uzinduzi kwa hisani ya mtandao wa www.francisgodwin.blogspot.com, wadhamini wengine ni Radio Ebon Fm, Ovarcomers FM, mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Ritta Moto Kabati na wadhamini wengine wengi.