Wateja waliojitokeza katika maonesho ya biashara ya Kimaifa Dar Es Salaam (sabasaba) wakipewa maelekezo na wafanyakazi wa kampuni ya simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania, namna ya kutumia simu ya ZTE 502 inayouzwa kwa shilingi elfu 13 katika maonyesho hayo.