Ngoma Africa Band wapagawisha Afro-Ruhr Festival, Ujerumani

Mzungu apanda jukwaani na kuanza kulisakata rumba baada ya kuvutwa na burudani la FFU

Wasanii wa Ngoma Africa Band katika Gwaride ya kushambulia jukwaa

Watoto wakijimwaga jukwaani baada ya kunogewa na rumba la FFU