Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa Hutuba yake wakati wa mkutano wa Jumuiya
ya Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Unguja leo,(kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis,(kulia) Bibi Tereza Olbam, Mlezi wa
Jumuiya na (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wastaafu wa
Jamhuri ya Muungano Mohamed Ali
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Jumuiya
ya Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza na Wajumbe hao katika mkutano maalum
uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya
Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,alipowasili katika
viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo, alipohudhuria
katika Mkutano Maalum na Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]