Albino Shinyanga kusherekea Mtoto wa Afrika kwa hofu


Watoto wenye ulemavu wa ngozi albino wakiwa katika shule maalumu ya Buhangija iliyopo Manispaa ya Shinyanga wakiwa katika uangalizi kufuatia tishio la mauaji hata hivyo watoto hao wengi wao wamekosa malezi ya familia zao na kuwa wapweke pia baadhi awajui ndugu zao pamoja na wazazi wao wako wapi kuelekea Siku ya Mtoto wa Africa.