Siku Deogratius Temba alipofunga ndoa na Sylivia

MAI 21, 2011 itabaki kuwa kumbukumbu ya milele kwa mwanahabari Deogratius Temba mkewe Sylvia Rwanyamva baada ya kufunga pingu za maisha. Ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa Katoliki la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadaye kufuatiwa na sherehe kabambe iliyofayika katika Ukumbi wa King Palace Sinza Kamanyora. Picha mbalimbali  ni Deogratius Temba akiwa na mkewe Sylvia katika pozi eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam mara baada ya kufunga ndoa Mai 21, 2011.