Jamaa hana nusu ya kichwa



Polisi wa Miami wamemkamata huyu jamaa kwa jina la Carlos Rodrigesa wakihisi kuwa anaweza akawa anajishughulisha na shughuli zisizo halali.