Kitabu cha “FURAHA HUJA ASUBUHI’ (JOY COMES IN THE MORNING)chazinduliwa

Mkurugenzi Mtendaji wa MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS Bw. Walter Bugoya akitoa neno wakati wa uzinduzi wa kitabu cha 'FURAHA HUJA ASUBUHI' (JOY COMES IN THE MORNING) kilichoandikwa na Hopolang Phororo kinachozungumzia Mateso na manyanyaso ya wasichana wadogo wakati wa malezi yao na haki ya msingi ya jinsia ya kike katika jamii.

Jopo la Wataalam wa Mambo ya Jinsia Tiba na Vitabu wakiwa kwenye picha pamoja

Baadhi ya Wageni waalikwa wakibadilishana mawazo baada ya uzinduzi.

Mgeni rasmi Dkt. Mrisho na Mtunzi wakionyesha Kitabu kwa wageni waalikwa na waandishi wa habari. Kitabu hiki kinapatikana katika Maduka ya MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS yaliyopo jijini Dar es Salaam kwa gharama ya shilingi 10,000/=.