Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya juni,6, 2012 kwenye uwanja wa Polisi, mji wa Makambako, wilaya ya Njombe mkoa mpya wa Njombe.
Mzee Leonard Mwampamba akimkabidhi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye , mundu, alipozungumza na wazee wa Ilembula, wilaya ya Wanging’ombe akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Njombe