Kitu panya msosi bwana! Washangaa nini?

Baadhi ya wachuuzi wa kitoweo cha Panya wakikinadi kwa wasafiri nchini Msumbiji. Panya ni msosi safi hasa kwa wakazi wa Kijiji cha Mandaba.

Wateja wakigombea mishkaki ya panya kutoka kwa wachuuzi kijijini Mandaba hivi karibuni.

Panya wa kitoweo wakiuzwa kwa wasafiri na wachuuzi. Picha zote na Mtaa kwa Mtaa Blog)