Mama Bilal azungumza na watanzania Botswana

mama Bilal akizungumza na wa Tanzania Botswana

Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal akizungumza na Watanzania
wanaishi Nchini Botswana

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Makamu wa Rais wa For Conervation Policy kulia
na Waziri wa Fedha wa Kenya Mhe. Robinson Njeru baada ya kumalizika
kwa mkutano wa siku mbili kwa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu maendeleo
endelevu kwa nchi za bara la Afrika uliomalizika mjini Gaborone
Botswana