Dk. Shein akiwa Jimbo la Makunduchi

Dk. Shein akiwa ziarani Jimbo la Makunduchi

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyihaji Makame, baada ya kutembelea na kuona maendeleo ya ujenzi wa Tangi la Maji la, Jimbo la Makunduchi, huko Kizimkazi Mkunguni jana, akiwa katika ziara wilaya ya kusini Unguja.