Prof. Mark Mwandosya aapishwa na JK

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark J. Mwandosya

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Mei 22, 2012 amemwapisha Prof. Mark J. Mwandosya kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalum katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam.