Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akimkabidhi cheti cha 'Digital Marketing Code Training' Mhariri Mkuu wa Mtandao wa dev.kisakuzi.com, Joachim Mushi. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akimkabidhi cheti cha 'Digital Marketing Code Training' Mkurugenzi wa FullShangwe Blogu, John Bukuku. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda.
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akimkabidhi cheti cha 'Digital Marketing Code Training' Mmiliki wa Mtaa kwa Mtaa Blogu, Othman Michuzi . Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akimkabidhi cheti cha 'Digital Marketing Code Training' Mmiliki wa Blogu ya Jiachie, Ahmad Michuzi. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda
Mtayarishaji Mkuu wa Mtandao wa Nkoromo Daily Blog, akikabidhiwa cheti na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Ephraim Mafuru (kulia), baada ya semina ya Ma-blogger kuhusu uendeshaji mitandao na maadili ya urushaji habari kwenye mitandao hiyo, na namna ya kukidhi malengo ya watangazaji au wadhamini wa mtandao husika.
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akimkabidhi cheti cha 'Digital Marketing Code Training' Mmiliki wa Bongo Weeked Blog, Hadija Kalili. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akimkabidhi cheti cha 'Digital Marketing Code Training' Mmiliki wa Blog ya 8020 Fashion's, Shamimu Mwasha. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akimkabidhi cheti cha 'Digital Marketing Code Training' Mmiliki na Mhariri Mkuu wa Father Kidevu Blog, Mroki Mroki. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akimkabidhi cheti cha 'Digital Marketing Code Training' Mmiliki BIN ZUBER BLOG. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akimkabidhi cheti cha 'Digital Marketing Code Training' Mkurugenzi wa R & R, Caroline Gul. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda.
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imetoa mafunzo kwa waendeshaji wa mitandao ya kijamii ya blogu na tovuti, ili kuwawezesha kuzifanya kazi zao kwa kuzingatia maadili, kanuni za mawasiliano pamoja na uendeshaji kibiashara kwa kuzingatia maslahi ya watangazaji na mmiliki wa mtandao.
Mafunzo hayo ambayo hutolewa na kampuni dada ya SBL, Diageo yanayotambulika kama ‘Digital Marketing Code Training’ yatawawezesha ma-bloga kufanya kazi zao kiufasaha mitandaoni-huku yakiwavutia wasomaji na wadhamini wa mitandao pasipo migongano ya kimaslahi.
Akiwasilisha mada mojawapo katika mafunzo hayo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano, Teddy Mapunda alisema vyombo vya habari vya mitandao vinakuwa kwa kasi huku vikiwa na wasomaji wengi hivyo kuna kila sababu waendeshaji wakawa makini katika kufanya uchaguzi kabla ya kuingiza taarifa.
Alisema uzingatiaji maadili utasaidia kuongeza idadi ya wasomaji ikiwa ni pamoja na kuwavuta makampuni watangazaji jambo ambalo litamuongezea kipato mmiliki. Aidha ameongeza kuwa kuna kila sababu kwa bloga kuzingatia makubaliano ya kampuni wafadhili ili kutoibua migongano ya kimaslahi.
Washiriki baada ya kuhitimu mafunzo hayo walipewa vyeti maalumu vya mafunzo “Digital Marketing Code Training” na Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraim Mafuru.