Dk Bilal akagua miradi ya maendeleo Kaskazini Unguja

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akioneshwa sehemu ya madawati yaliyotolewa msaada na wafadhili wa ujenzi wa vyumba vya madarasa, wakati alipofika katika shule ya Sekondari Nungwi kuzindua vyumba saba vya madarasa, akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali mkoa wa Kaskazini Unguja, Mei 22, 2011. (Picha na Muhidin Sufiani -OMR)