Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo (kushoto) akiangalia miili ya watu wanne waliouawa kinyama na kutupwa maeneo tofauti. Wapi kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Thobias Andengenye akiwa na maofisa usalama katika eneo la kuhifadhia maiti katika Hospital ya Mkoa, Mount Meru jana. Picha na Kamanda Richard Mwaikenda.