Naibu Waziri Kitwanga afungua Mkutano wa Umoja wa Taasisi za Mawasiliano Kusini mwa Afrika

Naibu Waziri wa Sayansi na Mawasiliano Charles Kitwanga akifungua mkutano wa mwaka wa 32 wa Umoja wa Taasisi za Mawasiliano KUsini mwa Afrika unaofanyika kwa siku mbiliunaojadili mambo mbalimbali katika mawasiliano ya simu ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya kidigitali, mkutano huo unahudhuriwa na wajumbe kutoka nchi 14 za (SAADC) Zimbabwe, Namibia, Botswana, Malawi Msumbiji, Afrika Kusini Rethoto na Tanzania