
Hiki ndio Kikosi cha Wanafunzi wa Mwaka wa 2 wanaosomea shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) ambacho Kilipambana na Kikosi Cha Mwaka wa 3 ambao wanasomea Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Katika Bonanza lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.

Hiki ndio Kikosi Cha timu ya Wanafunzi wa Mwaka wa 3 wanaosomea Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma wakiomba dua kabla ya mechi dhidi ya wanafunzi wa kozi hiyo katika bonanza lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Chuoni hapo

Baadhi ya Wachezaji wa Mwaka wa 3 wakiwa katika picha ya pamoja na wanadarasa wenzao kabla ya kuanza kwa mchuano.