Ishengoma ameremeta!

Edson Ishengoma na mkewe Jovina John wakipiga picha ya ukumbusho na mama mzazi wa bwana harusi, Geraldina Ishengoma (wa kwanza kulia) muda mfupi baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa Katoliki Tegeta jijini Dar es Salaam Mai 14. Waliosimama mbele ni wapambe wa harusi hiyo.

Wapambe wa maharusi wakisafisha njia kuingia ukumbini kabla ya kuingia maharusi, Edson na Jovina.

Edson na mkewe Jovina wakiingia ndani ya Ukumbi wa Camp David kwa staili ya aina yake.