Museveni aapishwa kuwa Rais wa Uganda tena

Rais Yoweri Kaguta Museveni akila kiapo cha urais katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda jana huku mkewe Mama Janeth Museveni akishuhudiaRais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais mstaafu wa Kenya Mzee Daniel arap Moi wakati wa Sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda zilizofanyika katika viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda.