Picha za Makamu wa Rais Dr. Bilal katika shughuli mbalimbali

Makamu wa Rais Dr. Bilal akifanya mazungumzo na waziri wa Uingereza wa Masuala ya Kimataifa Stephen Obrien.

Dr. Bilal akifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la ‘UN Women’ Ms. Michelle Bachelet. Bila shaka wamezungumza masuala ya mbolea kwa ajili ya mamendeleo ya wanawake na Tanzania kwa ujumla.

Dr. Bilal akionyeshwa gazeti la Uturuki, ambalo limechapisha habari kuhusu Mbuga ya Wanyama ya Tanzania

Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Dr. Sander GurbuzĀ sijui alizungumza nini, naona Mama Bilal, Bi. Zakia Bilal akimtolea macho kwenye meza kuu.

(Picha kwa hisani ya Michuziblog)