Yanayodaiwa kuwa makazi ya Osama bin Laden

Jengo kumbwa ambalo linasemekana alikuwa akiishi Osama bin Laden, ambaye Marekani imetangaza kumuua kiongozi huyo wa kundi la magaidi.