Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata rado (kulia) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa watoto wa shule ya Buguruni, Viziwi Dar es Salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entertainment.
Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi, Winni Niko, Dar es Salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entertainment.