Mroki kuzikwa kesho kijijini kwake Ugweno Msanganeni

Amani Mroki

MAREHEMU Amani Mroki Majengo (66) aliyefariki mapema wiki hii katika Hospitali ya KCMC mjini Moshi yanataraji kufanyika kesho kijijini kwake Ugweno Msangani, wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Amani Mroki alizaliwa Msangeni ugweno mwaka 1946 na kufariki 2012 anataraji kuzika jirani na kaburi la babayake Majengo T. Nathan.

Nyote mnakaribishwa katika tafrija hii ya kumhifadhi ndugu yetu, jamaa yetu, baba yetu, kaka yetu, katika nyumba yake hadi pale atakapokuja kunyakuliwa arudipo Bwana Yesu. Taarifa zaidi: Loyd Atenaka: 078434482 Zakaria Ernest 0754382583