Mkurugenzi wa Fedha wa Vodacom Tanzania, Christopher Fawcett akicheza muziki na Mkuu wa kitengo cha matangazo wa kampuni hiyo Joseline Kamuhanda katika kampeni ya ‘Find your Moyo’. Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini. Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500, na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza Mkurugenzi wao alipokuwa anaongea kuhusiana na kampeni ya ‘Find your Moyo’. Leo ni siku ya kipekee kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini. Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500, na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza akicheza muziki na Judith Kirimba ambae ni mfanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya kuhamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya ‘Find your Moyo’. Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini. Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza akicheza muziki na Judith Kirimba ambae ni mfanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya kuhamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya ‘Find your Moyo’. Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini. Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500, na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Ofisa Mkuu wa masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba, akikusanya fedha zilizokuwa zikichangishwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa kampeni ya kipekee ya ‘Find your Moyo” inayohamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini. Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500, na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakitayarisha vyakula mbalimbali waweze kuuza kwa wafanyakazi wenzao katika kampeni ya ‘Find your Moyo’. Kwa ajili ya kuwahamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini. Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500, na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599.